golden pride
JF-Expert Member
- Oct 24, 2014
- 847
- 435
Wakuu habari za weekend. Poleni na majukumu ya hapa na pale.
Kiimfaacho mtu chake. Nauza Nyumba yangu ambayo haijaisha.
Sifa za Nyumba/pagale
-Ni Vyumba viwili, katikati ndio kuna sebule.
-Pagale limepigwa bati tayari, Kwa staili ya kisasa.
-Ukubwa WA Kiwanja 26*27m
-Eneo Chanika Zogo Ali
-Umeme upo, nguzo tatu
-Majirani wapo wengi, kumejengeka
Picha nitaupload baadae, Niko mkoa mwingine kuna MTU nimemtuma
Bei 10m
Simu 0716411720