Chanika kubwa, sema ni ipi ......... na kuna umbali gani kutoka road kuu ???Nyumba ya Kisasa
Sitting room
Dinning
Master 1
single 3
Jiko
Store
Full tiles and gypsum
Fensi
Huduma muhim znapatkana kwa ukaribu
0656 698232
View attachment 391589
Poa,nitakutafuta.Chanika mjin mita 450 kuotoka barabara kuu ya lami
Hahahha,aisee nimecheka saana,maana umenikumbusha Kupatwa kwa jua,na huku Jamaa nyumba imekaa kama imevaa kizbaoMbona hiyo picha imekuwa kama kupatwa kwa Mwezi vile,maana ipo nusu nusu.
Hahahaha duh imevaa kizibao tena!!!!Hahahha,aisee nimecheka saana,maana umenikumbusha Kupatwa kwa jua,na huku Jamaa nyumba imekaa kama imevaa kizbao