ricostrong
Member
- Nov 15, 2016
- 43
- 6
Nymba ya kisasa
Sitting room
Master1
Single 3
Public toilet
Full tiles
Full gypsum
Uwanja 14/16
0656 698232
Sitting room
Master1
Single 3
Public toilet
Full tiles
Full gypsum
Uwanja 14/16
0656 698232
Hakuna tatizo lolote mkuu, ni makazi mapya ambayo hupatikana kwa bei nafuu sana hivyo watu wengi hukimbilia huko ktk kutaka kuendeleza hata pale mtu anapokuwa na kiasi kidogo, mwisho wa siku akishindwa kukamilisha ndipo anapo tangaza kuuza ili chake kimsaidieHivi Mbona Chanika Inauza na Kuuzwa sana Mara Viwanja mara Nyumba Kuna Nn huko ?
Asante kwa MaelezoHakuna tatizo lolote mkuu, ni makazi mapya ambayo hupatikana kwa bei nafuu sana hivyo watu wengi hukimbilia huko ktk kutaka kuendeleza hata pale mtu anapokuwa na kiasi kidogo, mwisho wa siku akishindwa kukamilisha ndipo anapo tangaza kuuza ili chake kimsaidie