nyumba inauzwa bei chee

imaney

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2012
Posts
1,014
Reaction score
314
nyumba iliyopo kwenye uwanja mkubwa inauzwa ubungo kibangu, unaweza kujenga nyumba nyingine ya vyumba vitatu...(robo tatu acre)

location:ubungo kibangu
maji; yapo kwa jirani
umeme upo
parking: ipo ya kutosha
sababu: ya kuuza ni kuhamia kikazi mjini moshi
size:vyumba vinne ,sebule,kitchen,master bedroom and inside toilet

bei: milioni 180,(180,000,000)

contacts: 00255713334835 (mobile) msamiemmanuel@yahoo.com(email)

 
Mkuu bei mbona kubwa sana..ushauri...kua realistic...najua uyasema kama sitaki nichape lapa..lakini ushauri wangu weka bei reasonable..kibangu kiwanja kikubwa ni kama 20milion..bei hiyo ni basing on comparable transavtions zilizotokea juzi juzi..so kujenga nyumba ni kama mia milion..wewe iyo stini umezidisha...
 

haya nimekuelewa mkuu....lol:embarrassed1:
 
nimesahau,madalali wanakaribishwa....🙂
 

Du kweli ni bei chee sana tena Ubungo Kibangu
 


Siamini kama kweli hii nyumba inauzwa, hii ni picha ya post card.
 
Duh... kwa hali hii mie ntakufq ktk kibanda chetu cha urithi.
 
kama hiyo nyumba unauza million 180. ya kwangu nikiuza nitauza billion 5.

unajua bei cheee ni nini?
 
jamani wakuu price ni negotiable msiogope kupiga hio number kwa sababu ya bei
 


mkuu ongeza kidogo uchukue mjengo huo....
 
haya nimepunguza million 160 jamani njooni tuongee biashara...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…