Nataka kununua ile bar ya matongee.
Kaulize bei then uni pm
Kwani inauzwa?
Hutaki disemba bar.....Nataka kununua ile bar ya matongee.
Kaulize bei then uni pm
naitaka! Siyo lazima iwe inauzwa, kikubwa hapo sikufikia dau tu mkubwa?kwani inauzwa?
hapana! Nataka kitu classic bana.hutaki disemba bar.....
siwezi kuchukua jengo la tanapa-kutakuwepo na conflict of interest hapo baadaye.unamuona huyo!? Kama atapenda tumuuzie lile jengo la tanapa kabisa pale majengo halafu wewe umepotea sana!
Nyumba kubwa nzuri ya Ghorofa Moja vyumba 4 na cha 5 ni masterbedroom min library na vingine muhimu vya ndani inauzwa kwa bei nzuri eneo la kwa mrefu karibu na Cet Garden mt.200 kutoka barabara kuu ya Moshi/Arusha kiwanja kina ukubwa wa hatua 35/35 imejengewa ukuta na geti kwa mawasiliano zaidi napatikana hapa 0784 326 778 bei ni maelewano.
Unamuona huyo!? Kama atapenda tumuuzie lile jengo la TANAPA kabisa pale majengo halafu wewe umepotea sana!
naitaka! Siyo lazima iwe inauzwa, kikubwa hapo sikufikia dau tu mkubwa?
Nawewe umewashitukia eeh??Machalii wa AFGEM wameanza kuchoka fasta fasta ile mbaya.
Nasubiria waanze kuuza ma LX yao niwe dalali.
aahhrggg,pale wamasai wenginafikiri katimakutano powa
habari yako wewe...............umeacha ile kazi pale kona ya barabara ..............nakwenda kuianglia nitakupigia tuzungumze bei