Nyumba inauzwa Arusha stand

Nyumba inauzwa Arusha stand

Juju_Kiki

Member
Joined
Apr 17, 2015
Posts
36
Reaction score
2
Habari wakuu.kuna nyumba inauzwa arusha ipo stand karibu na joshmal hotel.ina vyumba 8 kwa nyuma na ina frame 7 za maduka.bei ni 1bil 200mil.ni PM.kama upo interested Au unamjua mtu anaye hitaji nyumba. Asanteni
 
Hapa dar unanunua kiunga huku tmk na kunalipa kuliko hapo stand arusha
 
ha ha ha kwa mworomboo sio fresh kwa nini usijichanganye moshono
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom