Dalali Mtembezi
Member
- Mar 16, 2019
- 29
- 47
Msingi kozi 2,kenchi za ujanjaujanja,bati geji 32
Mkuu una macho macho mazuri!Msingi kozi 2,kenchi za ujanjaujanja,bati geji 32
Nafikiri kazungumza kulingana na uzoefu wake ila angelifika eneo la tukio na akaiona hiyo nyumba angelinitaka radhi kwa maneno ya hovyoMkuu una macho macho mazuri!
Kuangalia picha tu ushajua na bati geji ngapi?[emoji23][emoji23][emoji23]
Au unaifahamu hiyo nyumba?
Pole mkuu ndo binadamu tulivyoNafikiri kazungumza kulingana na uzoefu wake ila angelifika eneo la tukio na akaiona hiyo nyumba angelinitaka radhi kwa maneno ya hovyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Nyumba ya kiislamu. Poor design. Poor construction materials. Poor finishing. Inferior in every sense
Duh!Nyumba ya kiislamu. Poor design. Poor construction materials. Poor finishing. Inferior in every sense
Dini imeshaingia humu sioni kama uzi utamalizika salama. Maana habari za majini zitaanza punde.Nyumba ya kiislamu. Poor design. Poor construction materials. Poor finishing. Inferior in every sense
Nisaidie kujibu hapa mkuu,nikikumbuka jamaa angu alienunua nyumba chamazi Mbagala sina hamu kabisa, ana miaka 26 lakini mpaka alipata presha ghafla akalala muhimbili miezi 2, yaani nyumba ukiianglia kwa nje unafurahi unasema nyumba so ndo hii, baada ya miezi mitatu ikapiga mvua Mara moja tu, mamaayangu kwanzia rangi yote ilitoka, mabati yanatoboka kama turubai, maji yalijaa ndani kama tupo pale jangwani sahani zinaogelea zinashindana na television,
Kama umejua nilileta huu Uzi baada ya jamaa akiwa ICU pale muhimbili bahati mbaya haukupata wachangiaji
Tofauti na hivyo hawezi kuuza bei hiyo, hapo hata kwenye lenta unaweza kuta imewekwa nondo moja na msingi hakuna mkanda!Mkuu una macho macho mazuri!
Kuangalia picha tu ushajua na bati geji ngapi?πππ
Au unaifahamu hiyo nyumba?