Nyumba inauzawa Zanzibar

furaha ya moyo

New Member
Joined
Aug 17, 2012
Posts
1
Reaction score
0
Nyumba Inauzwa kwa Mnada
Nyumba nambari KS/MB/671A iliopo mbweni inauzwa kwa mnada wa hadhara kwa idhini ya amri ya Katibu Mtendaji,Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana, Zanzibar (Kumbukumbu KWNMA/UR/T.166/1994/68). Nyumba hiyo ni kubwa na imekamilika. ina vyumba vitano (5) vyumba viwili ni self contained), kumbi mbili, vyoo na varanda chini na juu kwenye kiroshani pamoja na uwanja wa uzio (fence). Nyumba ipo karibu na pwani na mbweni ruins. Ipo jirani na nyumba za Bwana Ali Mayugwa, Mheshimiwa Seif Sharif Hamad na Bwana Bushta. Siku na tarehe ya mnada itatangazwa na Kamisheni ya Wakfu baada ya siku kuu ya eid el fitri. Kwa maelezo zaidi fika katika Kamisheni ya Wakfu na Mali ya Amana, Forodhani. Ahsanteni
 
I am interested, tafadhali tupatie taarifa zaidi ya tarehe, mahali na kiasi gani mtu anatakiwa aweke deposit.
 

Kweli weye nzanzibari atiii,wakaa nchamba wima au jambiani?
 
Naona swala la building economics lilimpitia pembeni architect!
 
Kweli weye nzanzibari atiii,wakaa nchamba wima au jambiani?

ni vizuri furaha ya moyo ameamua kudharau dhihaka yako kwani angelikujibu hapa kwa kukuchambua wewe, lugha yako na uasili wako basi pangeliwaka moto hapa. Watu kama nyie mnajulikana na mnajulikana ni nini mnakitaka kwa wazanzibari lakini mnaogopa kusema.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…