N Nanjoy New Member Joined Jun 7, 2012 Posts 4 Reaction score 0 Sep 23, 2013 #1 Natafuta nyumba ya chumba na sebule self contained au hata chumba kimoja self contained ila kiwe kikubwa maeneo ya kinondoni, magomeni, mikocheni na moroco. Iwe karibu na barabara na kuwepo na maji pia. Kwa yeyote anayeweza kuniasaidia naomba anipm.
Natafuta nyumba ya chumba na sebule self contained au hata chumba kimoja self contained ila kiwe kikubwa maeneo ya kinondoni, magomeni, mikocheni na moroco. Iwe karibu na barabara na kuwepo na maji pia. Kwa yeyote anayeweza kuniasaidia naomba anipm.