tungibwaga
Member
- Apr 1, 2012
- 51
- 11
Nyumba inakodishwa, ni two in one apartment zenye vyumba vitatu vya kulala, choo cha ndani, kimoja na cha nje kimoja kwa kila apartment, luku ya umeme kila apartment, jiko, sitting room, feni kila chumba na sitting, floo tiles, parking ndani ya fensi. Maji mpaka ndani.
Kodi kwa mwezi ni Tshs 200,000 inalipwa kwa mwaka au miezi sita.
Nyumba ipo Ukonga Kipunguni B" kwa mawasiliano piga 0713215466 au 0753215466 au 0689413106.
Kodi kwa mwezi ni Tshs 200,000 inalipwa kwa mwaka au miezi sita.
Nyumba ipo Ukonga Kipunguni B" kwa mawasiliano piga 0713215466 au 0753215466 au 0689413106.