Ipo kimara suka golan.ina vyumba viwili vya kulala,kimoja masta,jiko,sebule,public toilet,ina maji ndani,gipsum,tairis,madirisha ya vioo.car parking,ina kisima.simtank.kodi laki tatu.ni nyumba mpya kabisa!

Safi mkuu,maana kwenye sifa za Nyumba kuna hadi jina la Muimbaji maaarufu wa Marekani.
Nyumba nzuri,full aluminum,je ina AC?,maana vioo hivyo ni balaa kwa joto au kama inakuwa na vioo hivyo pamoja na wavuwa mbu ipo mwake zaidi.Maana Dar mbu ndio home.