Nyumba inapangishwa ipo ubungo kibangu karibia na kibangu english medium.Ina vyumba vitatu vya kulala,kimoja master kati ya hivyo,public toilet nje na ndan,jiko pamoja na store,sebule kubwa,dinning,parking ya kufunga kwa magari mawili.Bei laki nne na nusu kwa mwezi haipungui.mawasiliano 0767400600.