mama jason
Member
- Sep 6, 2013
- 40
- 2
Ipo sinza afrikasana ipo karibu kabisa na barabarani ina vyumba viwili vya kulala sitting foom choo na jokoo,ipo ndani ya geti na ina parking kosi ni shs 280000 kwa mwezi nataka napokea kodi ya miezi nane.kwa anayehitaji anipigie 0714438523
Unatumia simu ya ainA gani kupost?
Hahaaa jamani tuache mzaha hizo typing errors ni kawaida tu kikubwa ni ujumbe .naona mshaaza mambo yenu
Shida ni kwamba kama kakosea na contact
Ipo sinza afrikasana ipo karibu kabisa na barabarani ina vyumba viwili vya kulala sitting foom choo na joko,ipo ndani ya geti na ina parking kosi ni shs 280000 kwa mwezi nataka napokea kodi ya miezi nane.kwa anayehitaji anipigie 0714438523
Choo ni kimoja cha public ,hamna sink wa gypsum na tiles zipo sebukeni tu.hivyo vitu unavyotaka kwa maeneo ya afrikasana kodi yake siyo hiyo.Kuna chumba chochote kina choo ndani yake kati ya hizo mbili?? Jikoni kuna sink la kuoshea vyombo? Kuna tiles na gpysum? Kama ina vigezo hivyo niambie ila nakulipa miezi 6 kama utakubali.Naomba jibu haraka.
Choo ni kimoja cha public ,hamna sink wa gypsum na tiles zipo sebukeni tu.hivyo vitu unavyotaka kwa maeneo ya afrikasana kodi yake siyo hiyo.
Choo ni kimoja cha public ,hamna sink wa gypsum na tiles zipo sebukeni tu.hivyo vitu unavyotaka kwa maeneo ya afrikasana kodi yake siyo hiyo.
Mi naamini kabisa kama kweli unashida ya nyumba unaweza kuja kuiona ili ujiridhishe .sidhani kama utailipia kabla hujaja kuiona.
Siji, sijaipenda.
Hahaaa umevurugwa c bure
Sifa ninazozitaka nyumba yako haina,sasa nihangaike toka mjini hadi afrikasana kufanya nini??????????? au utanipa ..@ ..*..#
weka picha mamaaHahaaa umevurugwa c bure