Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

fikrapevu sungura

Senior Member
Joined
Oct 26, 2011
Posts
110
Reaction score
11
Wadau napangisha Nyumba ipo Pugu Kichangani bei ni Tshs 200,000/= Yeyote anayehitaji anipigie kwa simu namba 0687702626. Nyumba ina vyumba 3, sebule,dinning,jiko choo cha ndani.Kisima kipo. Haina Dalali. Unaweza kuiona kwa picha hapo chini. Ulinzi upo. 100_5127.JPG 100_5325.JPG PIC0290A.jpg 100_5343.JPG
attachment.php
attachment.php
attachment.php
attachment.php
 

Attachments

  • 100_5328.JPG
    100_5328.JPG
    429.9 KB · Views: 72
Nyumba nzuri ila tatizo ninaloona nyumba nyingi mpya Tanzania ni kuwa hawafanyi ukarabati wa nje (landscaping). Picha hiyo inaonyesha kwa nje bado kama kazi inaendelea.
 
Hapa mtanipa ngapi ?
 

Attachments

  • 1393699257670.jpg
    1393699257670.jpg
    25.3 KB · Views: 194

Similar Discussions

Back
Top Bottom