Nyumba inapangishwa iko maeneo ya mbezi beach kituo cha samaki. Nyumba iko barabarani ina maji na umeme ina vyumba 4 vya kulala na imezungukwa na huduma muhim kama vile hospital na nyinginezo inaweza kupangishwa kwa familia au kwa bachelors 3 hadi 4.
Kwa wanaopenda kuiona wanaweza kuni PM kwa maelezo zaidi na jinsi ya kupata mawasiliano.
Karibuni Sana