Iko Mtoni Kijichi, mita chache kutoka stand (ccm). Iko katika hali nzuri. Ina vyumba vi3, sitting room, dining, choo cha ndani, stoo, jiko, security fence, Maji yapo. Kodi laki 3 kwa mwezi. 0714883861.
Laki 3 kwa mwezi Kijichi????tatizo wabongo hawajui kuthamanisha nyumba ...nyumba sio majengo banaa, nyumba thamani yake iko kwenye LOCATION period.
Dar es salaam rent nightmare,, kuna mchambuzi mmoja alichambua juzi kwenye the giardian na kuna mtu aliileta hiyo thread humu.. Dar es salaam is the most expensive city in east and central africa kwenye upande wa housing,, kodi za dar es salaam zipo overpriced..
Sasa kijichi lak 3, je ikiwa sinza, mwenge au ubungo ingekuwa bei gani?