Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

quintella

Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
20
Reaction score
1
Habari zenu, nyumba inapangishwa mwenge karibu na TRA, ina vyumba vitatu vya kulala, chumba kimoja ni master, ina dining room, sitting room, kitchen na public toilet, kodi ni 450000 inahitajika ya mwaka, karibuni sana.

Kwa mawasiliano na mwenye nyumba piga namba 0715238308 au 0762238308.

Asanteni.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom