Nyumba inapangishwa

Nyumba inapangishwa

Tapliti

Member
Joined
Nov 11, 2021
Posts
12
Reaction score
6
Chumba na sebule kinapangushwa tabata majichumvi vyumba ni vikubwa Bei 140k miezi minne anapokea vikubwa mnoo na vizuri mnoo dm ukihitaji.
 
Sio ugomv lkn nimeona nimshaur tu Kam anaweza aje apatazame ni Bure ndugu sio pesa
Tujifunze kwendana na Teknolojia ndugu kuna wengine wanakaa chanika lakini wanatamani kuishi katikati mji, na uwezekano wa kuja kupaona ni mgumu kutokana na shughuli za kiuchumi picha ingesaidia sana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom