Mzee wa Gwata
Member
- Apr 11, 2017
- 20
- 6
hata hiyo kubwa labda 120000Mzee Pugu kichangani mbali sana aiseee kodi ilitakiwa kidogo iwe 250 kwa mwezi
Nakuhurumia Tu. Wenye kujua mahali sahihi pa kuishi watanitafuta kwani si wote wenye kupenda kuishi nyumba za kubanana kwenye mlango wako Jirani kaweka choo. Hizo hata 20,000 kwa mwezi zipo hukohata hiyo kubwa labda 120000
Karibu MZEE utaongea na muhusika hatashindwa kukusikiliza na kukuelewa kwani ameifanyia innovation ya nguvu na haikaliwi na mtuMzee Pugu kichangani mbali sana aiseee kodi ilitakiwa kidogo iwe 250 kwa mwezi
120,000? Vyumba 3 self contained, library room,sitting room, dinning room. So wastani Wa chumba 30,000? Hapo dinning na sitting room bure. Wewe unajua kodi za vyumba kweli?hata hiyo kubwa labda 120000
Kiongozi usihangaike na watu ambao bado Wanakaa kwa mama zao hata bei za unga hawajui achilia mbali bei ya nyumba120,000? Vyumba 3 self contained, library room,sitting room, dinning room. So wastani Wa chumba 30,000? Hapo dinning na sitting room bure. Wewe unajua kodi za vyumba kweli?
Hahaaa. Asante mkuuKiongozi usihangaike na watu ambao bado Wanakaa kwa mama zao hata bei za unga hawajui achilia mbali bei ya nyumba
Nimeshindwa Ku upload kwa Simu yangu nitaweka usiku kupitia computer. KaribuUngeweka japo picha tukashawishika zaidi