M mlimbwende Member Joined Jul 15, 2011 Posts 74 Reaction score 26 Oct 18, 2011 #1 Nyumba ya kisasa mpya ndio imemalizwa kujengwa inapangishwa ukonga sitakishari. Ina vyumba vinne vya kulala, master bedroom. Ina garage, maji, umeme wa luku. Sh. laki tano kwa mwezi. kodi ya mwaka mzima inatakiwa. Dalali no. Picha inafuata.
Nyumba ya kisasa mpya ndio imemalizwa kujengwa inapangishwa ukonga sitakishari. Ina vyumba vinne vya kulala, master bedroom. Ina garage, maji, umeme wa luku. Sh. laki tano kwa mwezi. kodi ya mwaka mzima inatakiwa. Dalali no. Picha inafuata.