Kabachubya
Member
- Oct 6, 2009
- 87
- 10
Habari wa JF!
Napangisha nyumba ni units mbili. Unit yani upande mmoja una vyumba viwili, jiko,sebule na public choo + bafu. Kuna tank la maji fence na parking pia. Kuna vibanda vya mbwa na kuku kama ni mfugaji.
Nyumba ipo Tabata kimanga bonde la mchicha na kunafikika nyakati zote. Angalia picha kwa huakika zaidi.
Bei ni 250,000/= kwa mwezi kodi ya miezi 6 au mwaka tunapokea na hii haina dalali.
Kwa mawasiliano piga. 0717 123464 au 0762101178
Karibuni sana.