kwa yeyoye mwenye kuhitaji kupangisha hiyo nyumba anipm kwa maelekezo zaidi
ni nyumba ya vyumba vinne, ina sitting room kubwa, jiko na choo cha ndani, pia na cha nje. maeneo ni
tabata mawenzi.