Nyumba inapangishwa Tabata Kimanga

dip pub

JF-Expert Member
Joined
Jul 16, 2014
Posts
389
Reaction score
74
Nyumba ya vyumba vitatu,sitting,jiko,public toilet inapangishwa.iko tabata kimanga 100meter toka barabara kuu kodi ni 250,000/= Kwa mwezi inapokewa kodi ya miezi sita. Pia iko ndani ya uzio na inajitegemea kwa kila kitu kama maji na umeme.

Mawasiliano piga: 0714358610
 

....Tunakosa au kuchelewa kupata wateja muda mwingine kwasababu tu ya Kukosea Kuandika Vizuri Matangazo yetu. Umeandika Vizuri lakini ulichotakiwa kufanya pia Ni Kuweka na Picha ya Hiyo Nyumba ili mtu anapoona aweze kushawishika na kuiona...Samahani lakini Next Time weka maelezo na picha
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…