nyumba ya vyumba viwili vya kulala,kimoja ni master,sitting,jiko na public toilet.pia chumba kimoja(master bedroom) imefungwa AC.maji yapo muda wote,imezungushiwa uzio inapangishwa iko tabata chang'ombe.kodi ni 250000 kwa mwezi,inahitajika kodi ya miezi 6 au 12 inategemea na urefu wa mfuko wako mawasiliano #0714358610