Nyumba inapangishwa.,songea

Nyumba inapangishwa.,songea

Judy Nash

Member
Joined
May 10, 2013
Posts
41
Reaction score
11
Salaam,
Nyumba inapangishwa,ina vyumba vitatu vya kulala kimoja miongoni mwa vyumba hivyo ina choo na bafu vingine vilivyobaki vinatumia choo n bafu moja.
Ina jiko,sebule na sehemu ya kulia chakula. Imewekwa marumaru,ina gypsum pia.Umeme na maji vipo.Ipo msamala.
Bei ni Tsh 219900 kwa mwezi.
 
Msamala sehemu gani Mzee? Ina uzio? kuna jamaa yangu anatafuta nyumba kama vipi tupia picha kadhaa za ndani na nje nimfowardie na mawasiliano yako!
 
Karibu na kwa M burushi sheli,haina uzio.Ipo kama nilivyoianisha hapo juu.Nitaweka picha za ndani muda mfupi ujao.Nitaweka mawasiliano pia.
Ila mi sio mzee.,naitwa Judy Nash.
 
Jamani nauza/napangisha Nyumba Songea ipo Mkuzo karibu na msamala bei ni maelewano.
Nipigie 0756 303344
Karibu tufanye biashara.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom