Ulongupanjala
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 8,523
- 14,002
kwa hiyo dalali anakula 500,000 faster....ya bure bureeeeeeeee...Heshima kwenu wakuu,
Nyumba inapangishwa Sakina,jirani na Trust St.Patrick Schools. Nyumba kubwa INA vyumba vitatu,kimoja master bedroom,jiko,sebule,stoo,imeunganishwa na Solar power kama dharura endapo umeme utakatika,hakikadhalika kuna DSTV,full times na master bed room INA AC.
Nyumba ndogo INA vyumba viwili na sebule(ghorofa moja) na vyoo 2,na bafuninkuna bathtub.
Hizo nyumba mbili zinajitegemea ila sana share geti la kuingilia tu.
Kodi ni laki tano kwa mwezi na inatakiwa kodi isipungue miezi sits,plus mwezi mmoja wa DALALI.
Ikiwa unahitaji njoo PM.
Asanteni!
Kazi ya MTU usiidharau,kama rahisi nenda katafute nyumba mwenyewe!kwa hiyo dalali anakula 500,000 faster....ya bure bureeeeeeeee...
sijaidharau bwana mdogo nimesema jamaa wanapiga pesa ndefu za faster faster,,Kazi ya MTU usiidharau,kama rahisi nenda katafute nyumba mwenyewe!
OK,sina hakika kama ninafaa kuitwa bwana mdogo wako!sijaidharau bwana mdogo nimesema jamaa wanapiga pesa ndefu za faster faster,,
Je nikitaka nyumba kuukuu yenye Kiwanja chenye hati kwa ajili ya kununua nijipangeje?Maeneo ya hukohuko Sakina?Heshima kwenu wakuu,
Nyumba inapangishwa Sakina,jirani na Trust St.Patrick Schools. Nyumba kubwa INA vyumba vitatu,kimoja master bedroom,jiko,sebule,stoo,imeunganishwa na Solar power kama dharura endapo umeme utakatika,hakikadhalika kuna DSTV,full times na master bed room INA AC.
Nyumba ndogo INA vyumba viwili na sebule(ghorofa moja) na vyoo 2,na bafuninkuna bathtub.
Hizo nyumba mbili zinajitegemea ila sana share geti la kuingilia tu.
Kodi ni laki tano kwa mwezi na inatakiwa kodi isipungue miezi sits,plus mwezi mmoja wa DALALI.
Ikiwa unahitaji njoo PM.
Asanteni!
Namanga road,Arusha,Tanzania.Kwa sakina ndio wapi huko?
Kuanzia 100mJe nikitaka nyumba kuukuu yenye Kiwanja chenye hati kwa ajili ya kununua nijipangeje?Maeneo ya hukohuko Sakina?
umejuaje hutakiwi kuitwa bwa.mdogo...OK,sina hakika kama ninafaa kuitwa bwana mdogo wako!
Kila MTU anakula alipofungiwa,wengine wanapiga mamilioni kwa kusaini tu!
Uandishi wake naona una harufu ya shule za kata!umejuaje hutakiwi kuitwa bwa.mdogo...
JIBU SWALI BWA. MDOGO...ACHA KUZUNGUKA MBUYU...Uandishi wake naona una harufu ya shule za kata!
Acha kujaza server kwa mambo ya kitoto!JIBU SWALI BWA. MDOGO...ACHA KUZUNGUKA MBUYU...
nimekusoma bwa. mdogo.. nakutakia mafanikio mema katika kutafuta mteja wa huo mjengo wa tajiri..Acha kujaza server kwa mambo ya kitoto!
Unajisikia raha kuita kila MTU bwana mdogo wako,umezaliwa peke yako nn?nimekusoma bwa. mdogo.. nakutakia mafanikio mema katika kutafuta mteja wa huo mjengo wa tajiri..
asante kwa kuitikia bwana mdogo.. Mimi nina miaka 96 mjukuu wangu ndio alinifungulia haka kamtandao niji mwaye mwaye..Unajisikia raha kuita kila MTU bwana mdogo wako,umezaliwa peke yako nn?
Ngoja niitikie tu,yaishe maana hakuna namna!