Nyumba yenye vyumba vitatu vya kulala, sebule kubwa, chumba cha chakula, jiko, selfcontained inapangishwa maeneo ya Sae, Mbeya, kwa kodi ya Tshs. 400,000/= tu kwa mwezi. Ina nyumba ya uwani yenye vyumba chumba sebule, na choo. Ni nyumba mpya.
Kwa mawasiliano, wasiliana nami kwa simu namba 0754060350,0716252818.
Nyote mnakaribishwa!!!!!!!