Nyumba inapangishwa iko maeneo ya kinondoni karibu na biafra, nyumba inasebule kubwa,dining,vyumba vitatu na kimoja ni master bedrum,maji 24hours. Nyumba inaparkng gate,fance. Kwa mawasiliano piga 0718999987. Kodi ni laki sita kwa mwezi
Nitakaaa hapa hapa kwa mwez elf 30##mwananyamala