mwangambaku
Senior Member
- Oct 9, 2014
- 109
- 22
Nyumba ya vyumba 3 vya kulala , kimoja master jiko , dining , public toilet na store , inapangishwa eneo la kipunguni B mosh bar , maji yapo ya kutosha bei ni Tsh 250,000 kwa mwezi , miezi 6 anachukua.
Kipunguni B ipo ukonga banana unafika kituo cha mombasa kisha unapanda daladala kwenda moshi bar , kutoka Moshi bar mpaka kwenye nyumba ni mwendo wa dk 3. gari inafika mpaka kwenye nyumba ni mazuri sana kuna shule ya kimataifa ya masaka internationa school,.
Mimi ni dalali wa hii nyumba simu
0755 099 291
Karibu