Nyumba ipo Dar es salaam, Mbezi Luis kibanda cha mkaa, Morogoro road. Vyumba 3 vya kulala, sebule kubwa, vyoo 2, stoo, jiko. Chumba kimoja kinajitegemea kwa choo, maji yapo, umeme upo.
Nyumba imezungushiwa fency, kodi 250,000 kwa mwezi. Kodi inaanzia miezi 6.
Mawasiliano ni 0766 47 47 76 na 0776 47 47 48..
Karibu..
Nyumba imezungushiwa fency, kodi 250,000 kwa mwezi. Kodi inaanzia miezi 6.
Mawasiliano ni 0766 47 47 76 na 0776 47 47 48..
Karibu..