Nyumba inapangishwa makongo juu!

komba05

JF-Expert Member
Joined
Jan 8, 2016
Posts
367
Reaction score
293
Vyumba viwili kimoja ni master bedroom, sebule, jiko, choo na dinning! Pia parking ya kutosha na eneo la kubwa la kutosha ndani ya fence! 0717569086 nichek fasta!
 
Vyumba viwili kimoja ni master bedroom, sebule, jiko, choo na dinning! Pia parking ya kutosha na eneo la kubwa la kutosha ndani ya fence! 0717569086 nichek fasta!
Makongo juu kubwa sema ipi,mwisho wa daladala au chama au I.T.V au kanisani au kwa Mongella............????
 
Kwa wapi kama unaenda kiwanjani/kanisani kule juu au kama unaenda Changanyikeni ?????
Umewekewa namba ya simu piga..acha maswali mengi..au na ww dalali mkuu
 
Umewekewa namba ya simu piga..acha maswali mengi..au na ww dalali mkuu
Haya maongezi yetu kuna watu yanawasaidia usidhani wewe peke yako unaisoma hii mada, sinahaja ya kumpigia kitu live na yeye hana tatizo ndio maana ananijibu.
 
Weka bei tuwashike kupigakulingana na pesa yetu ya mkononi wee vipi
 
Landscape ya huko ilivyokaa vizuri na miinuko, lakini naona wabongo wanashindwa kuitumia,hapo kajenga limsingi likuubwa,,wakati huko chini alikuwa na uwezo wa kuweka basement au car park.
 
Landscape ya huko ilivyokaa vizuri na miinuko, lakini naona wabongo wanashindwa kuitumia,hapo kajenga limsingi likuubwa,,wakati huko chini alikuwa na uwezo wa kuweka basement au car park.
Mkuu kwa chini ni parking ya magari, na eneo la kupunga upepo!
 
Mbona hujaonyesha hiyo parking, umeelewa lakini nilichokisema ndugu?
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…