Nyumba Inapangishwa Kimara Temboni

Nyumba Inapangishwa Kimara Temboni

SmithG

Member
Joined
Aug 11, 2010
Posts
67
Reaction score
2
Lounge & Dining View .jpg
Nyumba self contained inapangishwa Kimara Temboni. Ina vyumba vitatu vya kulala kimoja ni master bedroom, sitting room, dining, kitchen, store na eneo la takribani ekari moja linalofaa kwa kilimo au kufugia. Iko available kuanzia January 1st, 2012. Kodi ni Tshs. 250,000 kwa mwezi (Negotiable).
Kodi ni kwa Mwaka (Miezi 12)
Call: 0713 301078, 0764 301078,
0778 301078
 
Mkuu vipi ina fence? Umbali gani kutoka morogoro road? Umeme, maji? Na kodi ni ya mwaka au miezi sita?
Nawasilisha
 
Jamaa zetu wa karibu na kenya hawajaanza rabsha za kukaba watu ili wapate hela ya kwenda kwao kwa ajili ya sikukuu? tupe update kabla hatujaamua kuja huko kupanga!!!
 
We babojga mbona unanitisha. . . . what's wrong with the area?
 
Hivyo ndivyo unavyojibu watu ambao wangependa kupanga ehhh?

Watu wengine bana, hata mbinu za msingi tu za kuwasiliana na wateja mtu hajui.....
pata picha ukichelewesha kodi siku mbili...
 
Watu wengine bana, hata mbinu za msingi tu za kuwasiliana na wateja mtu hajui.....
pata picha ukichelewesha kodi siku mbili...

Heheheehe, mbona itakua soo.
 
Watu wa Mjini tu waoga kukaa mbali na mji vipi mafuriko hayajaisogeza hiyo house?
attachment.php
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom