Nyumba inapangishwa Kihonda, Morogoro

Nyumba inapangishwa Kihonda, Morogoro

lelo2387

Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
33
Reaction score
2
Anatafutwa mtu anayeweza kupanga nyumba iliopo mkabala na Idiva bar yenye vyumba vitatu
Choo ndani
Jiko
Sebule kubwa
Maji wakati wote
Na uwanja na usalama mkubwa
Bei 200000 kwa mwezi
HAKUNA DALALI

Piga
0754598946
0658598946
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom