Nyumba inapangishwa Kihonda Idiva

Nyumba inapangishwa Kihonda Idiva

lelo2387

Member
Joined
Jan 16, 2015
Posts
33
Reaction score
2
Nyumba inapangishwa jirani na Idiva Kihonda Morogoro
3 bedroom
Choo ndani
Sebule kubwa
Jiko
Maji muda wote
Uwanja mkubwa na usalama wa kutosha.
Kodi ni 200,000 tu kwa mwezi.
Haina udalalali.

Piga
0754598946
0658598946
 
Nyumba nzuri inapangishwa bila udalali ipo mkabala na idiva bar.
3 bed rooms
Sebule kubwa
Choo ndani
Jiko ndani
Maji wakati wote
Uwanja na usalama mkubwa.
Bei ni 200,000 tu kwa mwezi.
Wasiliana haraka na mwenyenyumba
0754598946
0658598946
 
Mm nauza yangu ila ipo main road ya kutokea maghorofani
 
Nyumba inauzwa Chanika Tshs. Mil 62. Ipo ndani ya kiwanja cha Medium size, Ina master bedroom 1, sub master 1, vyumba vya kawaida 2, common toilet, sitting room and dinning, stoo na jiko. Nje ina garage, mabanda ya kuku na mbwa, jiko, stoo na choo cha nje, pia ina wigo wa ukuta.

Mawasiliano: 0654060250
 
People ninatafuta office ya kupanga iwe wilaya ya temeke mfano maeneo ya temeke,chang'ombe, sokota,mbaghala.iwe ni inayojitegemea kwa maana ya fance kubwa,eneo la parking.space ambayo naweza kubwa kidogo kutokea kwenye lam,ikiwa gholofa bas iwe mbili.maelezo.zaidi 0717729048
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom