umesema nyumba au chumba na sebule... vinajitegemea au! umeme wa kushare? maji vp. nyumba ikoje mpya au ilishatumika! inapatikana kuanzia lini au haina mpangaji kwa sasa. majibu please
Nyumba ni mpya,ni anderground yaani mpangaji anakaa chini na mwenye nyumba juu,mpangaji ni mmoja,luku na maji ni vya kushare.ina tank la kuhifadhi maji,shida ya maji hakuna