Nyumba inapangishwa ipo dar es salaam.

mjasiriamali mdogo

JF-Expert Member
Joined
Mar 15, 2013
Posts
262
Reaction score
117
ina vyumba 3, master 1, sitting na dinning room. Ina choo cha nje na ndani. Ina fensi ya ukuta na geti kubwa. Ina maji na umeme. MAHALI ILIPO PANDA DALADALA ZIENDAZO MGENINANI (UKIWA MAENEO ZA YAKHEEM KARIBU NA UKUMBI MAARUFU WA DAR LIVE MBAGALA). NYUMBA IPO KWENYE KONA. SHUKA KITUO CHA MWEMBENI KONA NA NYUMBA UIONAYO NDIO YENYEWE. KODI KWA MWAKA mil 6. Mawasiliano 0774728916.
 

Mbagala laki tano kwa mwaka!!!! napewa na mwanamke?!!!!!
 
Mbagala Kwa laki 5 Kwa mwezi?

mpangaji naemuondoa alikuwa analipa hicho kiasi tatizo alikuwa sio mtunzaji mzuri. nyumba imetulia na ipo location nzuri sana. Kama hela yako ni ya mawazo kweli utaona kama anasa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…