Nyumba inapangishwa! House for rent

Nyumba inapangishwa! House for rent

SeviaSon

Member
Joined
Aug 5, 2015
Posts
20
Reaction score
1
Nyumba ya kisasa inapangishwa maeneo ya Msasani Tido, nyuma ya my fair plaza.

Nyumba kubwa ina vyumba vinne master room, dining with heater, large sitting, full tiles, sliding windows, capboards each room, kitchen and stoo.

Also kuna nyumba ndogo yenye vyumba viwili ambayo ni 1 master room na sitting and small kitchen.

Large parking area eneo lote limesakafiwifa, dogs house, two large water tanks reserves.

The price is $ 1500

Note.. no middle man



CONTACTS:
Phone No. +255 712 454 372
Email. jimmyfrank26@gmail.com


SEEING IS BELIVE
 

Attachments

  • F.VIEW.JPG
    F.VIEW.JPG
    339.2 KB · Views: 410
  • M.GATE.JPG
    M.GATE.JPG
    562.4 KB · Views: 410
  • CORINDO.JPG
    CORINDO.JPG
    324.6 KB · Views: 399
  • M.TILET.JPG
    M.TILET.JPG
    434 KB · Views: 398
  • SAM_1210.JPG
    SAM_1210.JPG
    55.9 KB · Views: 303
  • SAM_1211.JPG
    SAM_1211.JPG
    44.3 KB · Views: 308
sijaelewa hiyo bei ni kwa zote mbili?
mi iko nteret na iyo ya to rooms
 
yah ni ya zote mbili pamoja na hiyo sevant house
 
Bila kuruhusu dalali utadunda sana mkuu bila kuapata mteja
-Kwanza wateja wengi wa bei hizi hawajui Kiswahili,wao ni Kiingereza tu
-Je wewe ni mwenye nyumba au ni Dalali unaeblock madalali wenzio?

Ushauri wa kulipia(unilipe nyumba ikipangishwa,hata vocha:
Kwa bei ya US$ 1,500 ambapo ni wastan wa 3,300,000 kwa mwezi which comes to US$ 18,000 kwa mwaka ambapo kwa tsh ni wastan wa Milioni 40,(Tsh:40m) kwa mwaka ,hapo ungeweka na version ya kiingereza ili iwe rahisi.Maana humu JF kwa be hizo wengi ni madalali,na wewe umewazuia,sasa ili iwe rahisi kupata wateja basi weka na kizungu mkuu.
 
Dalali unatumia lugha ya kigeni kumbe huijui,eti seeing is belive.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom