Eneo ilipo: Area C, karibu kabisa na barabara ya Arusha.
Aina ya nyumba: Ex NHC. Vyumba viwili, jiko, sebule na choo. Standard yaani haijafanyiwa marekebisho ya ziada.
Kodi: shs 160,000 kwa mwezi. Wa kwanza kutoa offer anaipata.
Inapatikana muda wowote. Kwa maelezo zaidi tuwasiliane kupitia tajirika@gmail.com .