Nyumba inapangishwa bunju b!!

Nyumba inapangishwa bunju b!!

Jamilajuma

Member
Joined
Sep 27, 2010
Posts
19
Reaction score
0
Habari ma-great thinker!!

Nyumba mpya inapangishwa Bunju. Ina vyumba kama ifuatavyo;
Master bedroom (self contained) - 1
Vyumba vya kulala viwili (wanashare choo) - 2
Library/Study room - 1
Sebule -1
Dinning - 1
Kitchen na stoo
Choo cha wageni - 1
Sehemu cha kupumzikia - 1
Baraza la kubwa ya kupunga upepo - 1

Na pia ina servant quarter yenye chumba kimoja cha kulala, stoo na choo na bafu

Ina uzio na uwanja kwa watoto kucheza na matumizi mengineyo.

Gharama ni sh laki tano (Tsh 500,000) kwa mwezi.

Atakayehitaji tuwasiliane kwa namba 078 147 947, mimi ni mwenye nyumba na si dalali

Asante​
 
Je ina maji, umeme na parking? na iko umbali gani kutoka bagamoyo road? je inafikika kwa gari?
 
Ina umeme, haina parking ila ina nafasi ya kupark zaidi ya magari matano na nafasi kubwa inabaki, hapana maji ya DAWASCO hayajafika ila kuna tank la lita 2000 na tunapanga kuchimba maji, ni dk tano kutoka main road na barabara inapitika vizuri sana hata kwa gari dogo, ni maeneo yaliyopimwa
 
Ahsante sana kwa maelezo mazuri. Yatafanyiwa kazi.
 
Samahani sijaipiga picha, kwa ndani ipo kama nilivyoeleza na kwa nje, imeezekwa kwa bati la migongo mipana, ina vioo vya aluminium, na ina rangi nyeupe. Na imekwekwa tiles nyumba nzima.
 
weka pich please

Samahani sijaipiga picha, kwa ndani ipo kama nilivyoeleza na kwa nje, imeezekwa kwa bati la migongo mipana, ina vioo vya aluminium, na ina rangi nyeupe. Na imekwekwa tiles nyumba nzima.
 
Ina umeme, haina parking ila ina nafasi ya kupark zaidi ya magari matano na nafasi kubwa inabaki, hapana maji ya DAWASCO hayajafika ila kuna tank la lita 2000 na tunapanga kuchimba maji, ni dk tano kutoka main road na barabara inapitika vizuri sana hata kwa gari dogo, ni maeneo yaliyopimwa

Mkuu kwa jinsi ninavyoijua Bagamyo road, dk 5 toka barabara ya lami kuna maji ya DAWASCO ya kutosha na bomba kubwa la DAWASCO linapita maeneo hayo. maeneo hayo visimi vya kuchima ni nadra sana. Labda ni Mabwepande.
 
(red) Unamaanisha nini?
 
Mkuu kwa jinsi ninavyoijua Bagamyo road, dk 5 toka barabara ya lami kuna maji ya DAWASCO ya kutosha na bomba kubwa la DAWASCO linapita maeneo hayo. maeneo hayo visimi vya kuchima ni nadra sana. Labda ni Mabwepande.

Hapana nyumba ipo bunju na sio mabwepande, na ni kweli bomba la DAWASCO lipo (na majirani zangu waliopo kabla ya kufika kwangu maji yanatoka) lakini maji hayana presha kabisa kuweza kufika kwangu, wataalamu wa maji walikuja kuangalia ndo wakanishauri kuwa wala nisihangaike kuvuta bomba lao maana maji hayatatoka.
Naangalia kama nawaweza kutoboa maji kutoka ardhini
 
Jamani jamani Bunju kupanga kwa gharama ni sh laki tano (Tsh 500,000) kwa mwezi, du kweli na mimi ngoja nianze kuweka kamsingi kwenye kiwanja changu cha Mabwepande nami namini siwezikosa hata laki tatu kwa mwezi Mabwepande
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom