nyumba inapangishwa arusha eneo kibanda maziwa. Nyumba ina chumba kimoja cha kulala sebule na choo ndani ziko 3 kwenye compound moja. Ziko karibu na barabara kuu ya nairobi. Ina geti maji na umeme ni mpya. Kwa mawasiliano zaidi pm au piga no 0754 274463.