Nyumba inapangishwa! Arusha

dist111

JF-Expert Member
Joined
Nov 29, 2012
Posts
3,912
Reaction score
3,462
Nyumba ya vyumba viwili (kimoja ni master), sebule na jiko inapangishwa, parking ya gari 2.
Bei ni laki 2 kwa miezi 6!
Ipo hatua barabarani kabisa (Moshi-Arusha road) na ni moja kati ya nyumba 4 zilizo kwenye Fenci moja ingawa kila kitu inajitegemea.

Kwa maelezo zaidi PM.
Note: Hakuna dalali ni ya jamaa yangu ambaye mitandao ya jamii imemkalia kushoto kidogo
 
mkubwa hiyo bei unamaanisha ni laki mbili inalipwa maramoja kwa miezi sita au ni laki mbili kila mwezi kwa miezi 6? ipo mtaa gani?
 
mkubwa hiyo bei unamaanisha ni laki mbili inalipwa maramoja kwa miezi sita au ni laki mbili kila mwezi kwa miezi 6? ipo mtaa gani?

Laki 2/mwezi unatakiwa ulipe kwa miezi 6
 
hiyo nyumba ipo eneo gani la hiyo barabara?

mianzini au king'ori coz yote hiyo ni barabara ya moshi-arusha.

kuna mtu anahitaji ila bajet yake 150/month ( ila iwe kati ya mianzini na kimandolu/ngulelo)
 
hiyo nyumba ipo eneo gani la hiyo barabara?

mianzini au king'ori coz yote hiyo ni barabara ya moshi-arusha.

kuna mtu anahitaji ila bajet yake 150/month ( ila iwe kati ya mianzini na kimandolu/ngulelo)

yenyewe iko karibu na tengeru, bajeti ni 200/month mkuu.
 
mkuu, kwa fundi sipafaham ila kabla haujafika tengeru abt 1km ukiwa unatokea town

Tengeru ni nje ya mji.....wengine tunapenda kuishi katikati ya mji kama wahindi.
 
Tengeru ni nje ya mji.....wengine tunapenda kuishi katikati ya mji kama wahindi.

Nani kakuuliza unapenda kuishi wapi, Sio lazima upost mkuu!
 
Mkuu vp 2wasiliane basi
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…