Fadhili Paulo
JF-Expert Member
- Sep 1, 2011
- 3,211
- 996
huwa mnasema ati bongo tambarare,haya!Duuh we dalali si mchezo,,nyumba haina hata paved block na fance ya michongoma plus gate. Any way mi napita tuu ila ukiirekebisha kidogo itaendana na hadhi ya hiyo bei!!
Kweli sisi bado ni watumwa, tupo kwetu lakini tunapangishwa nyumba kwa USD, huu upuuzi kwa wenzetu SA haupo kabisa.
2,500,000 x 12= 30,000,000/= ASANTE
Kweli sisi bado ni watumwa, tupo kwetu lakini tunapangishwa nyumba kwa USD, huu upuuzi kwa wenzetu SA haupo kabisa.
Duuh we dalali si mchezo,,nyumba haina hata paved block na fance ya michongoma plus gate. Any way mi napita tuu ila ukiirekebisha kidogo itaendana na hadhi ya hiyo bei!!
bei hiyo haiko mbali sana na bei ya soko kwa sasa kwa maeneo husika na nyumba za standard husika, kuna sehem hiyo bei ni ya chumba kimoja tu!
Kuna Watu wana masihara. 2.5m kwa mwezi?
Au una target international market?
Mkuu, sasa unaanza kunipa wasiwasi kama Na wewe ni mgeni na maeneo hayo hapa Dar. Dar imegawanyika mkuu, kuna sehemu nyumba kodi kwa mwezi laki 1, kuna sehemu laki 3, kuna sehemu milioni Na kuendelea. Inategemea ni sehemu gani hiyo nyumba IPO. Ni waTz wa kawaida tu wanapanga kwenye hizi nyumba ingawa hata watu Kutoka nje wamo pia
Daaah
Poa mkuu.
Nishazoea sana sana ikizidi ni 1.5m
Anyway, yote kheri kaka
Asante kwa kunijuza