Nyumba inakodishwa

Nyumba inakodishwa

Joined
Jun 3, 2014
Posts
24
Reaction score
1
Kwa wale wote waishio Dar napenda kuwa taarifu kuwa kuna nyumba yenye rum nne na seble moja pamoja na vyumba vingine viwili vilivyopo nje,ipo eneo la majohe na ina mazingira safi ya kupendeza na inakodishwa kwa bei nafuu karibuni sana kwa mawasiliano zaidi piga namba 0762283253 au Kennedyshirima09@gmail.com asanteni sana
 
majohe sejemu gani mkuu,ni vizuri kama ungetupia na picha angalau mtu ajionee kabla ya kufunga safari mpaka huko.
 
Asante mkuu michepuko kwa wazo lako zuri na upeo wako wa kufikiri umeonambali sana shukrani.Nitafika uko ndani ya wiki hii inayo anza alafu nta post picha zake apa na nyumba ipo karibu na barabara 7meta kutoka barabara kuu karibuni wote asanteni.
 
Back
Top Bottom