nyumba nzuri na ya kisasa inakodishwa,ipo maeneo ya mbezi hapa goigi.
ina ac mbili na security system na ni rahisi kufaki kwa gari.kwenda kwa gari hadi kwenye nyumba ni dk 3 kwenda kwa miguu ni dk 5-6.
kodi 800,000 kw mwezi.kodi kuanzia miezi sita hadi mwaka.kama una hitaji ni pm