Nyumba ya kisasa ina vyumba vnne vya kulala pamoja na master bedroom, sitting, jiko, public toilet haijapgwa tiles,kisima cha maji
Contact; 0656 698232
Ongeza details kama - jee eneo la Kiwanja chake ni kubwa vipi, umbali toka kwenye barabara kubwa ukoje, jee hicho kisima ni borehole au kisima kifupi, n.k.