Duuuuuuuhhhhh, nyumba hujajenga wewe kwanini uwake tamaa ya pesa nyungi.
Sijalijua vizuri eneo hilo ila hiyo nyumba haina ubora, pia Shinyanga hapajastawi sana.
25 milions si mchezo kwa maisha ya kitanzania.