newmzalendo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 1,386 Reaction score 583 Nov 10, 2012 #1 Nyumba ya 4 bedroom 2master bedrooms,study room,dining room ,jiko lenye makabati, ina Maji na Simtank 2 za 1000 ltrs location: mbezi mwisho 10 minutes walking distance from mbezi bus stop kodi Tsh.280,000/- kwa mwezi call 0715 354565 for more details location of google maps https://maps.google.co.tz/maps?q=mb...+es+Salaam,+Kinondoni,+Dar+es+Salaam&t=m&z=16
Nyumba ya 4 bedroom 2master bedrooms,study room,dining room ,jiko lenye makabati, ina Maji na Simtank 2 za 1000 ltrs location: mbezi mwisho 10 minutes walking distance from mbezi bus stop kodi Tsh.280,000/- kwa mwezi call 0715 354565 for more details location of google maps https://maps.google.co.tz/maps?q=mb...+es+Salaam,+Kinondoni,+Dar+es+Salaam&t=m&z=16
jamii01 JF-Expert Member Joined Oct 1, 2010 Posts 1,988 Reaction score 1,437 Nov 10, 2012 #2 Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa..
Jay One JF-Expert Member Joined Nov 12, 2010 Posts 18,535 Reaction score 20,730 Nov 10, 2012 #3 Vp maji...fence... ukubwa wa vyumba..? weka namba nikupigie..!!
Ritz JF-Expert Member Joined Jan 1, 2011 Posts 56,744 Reaction score 46,268 Nov 10, 2012 #4 Mbezi gani mkubwa?
R Reginald12 JF-Expert Member Joined Aug 9, 2012 Posts 264 Reaction score 145 Nov 10, 2012 #5 jamii01 said: Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa.. Click to expand... Tatizo litakuwa kwenye bei...Laki 280! Labda apunguze iwe laki 2 na elfu 80 itaenda fasta....
jamii01 said: Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa.. Click to expand... Tatizo litakuwa kwenye bei...Laki 280! Labda apunguze iwe laki 2 na elfu 80 itaenda fasta....
newmzalendo JF-Expert Member Joined Mar 23, 2009 Posts 1,386 Reaction score 583 Nov 11, 2012 Thread starter #6 jamii01 said: Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa.. Click to expand... nadhani umechanganya madesa, hii nyumba haijatangazwa. nyumba ni mpya haijakaliwa/kuishi watu.
jamii01 said: Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa.. Click to expand... nadhani umechanganya madesa, hii nyumba haijatangazwa. nyumba ni mpya haijakaliwa/kuishi watu.
P PhD JF-Expert Member Joined Jul 15, 2009 Posts 4,904 Reaction score 4,458 Nov 12, 2012 #7 jamii01 said: Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa.. Click to expand... Usiku hapalaliki mkubwa, mnajikuta wote mmenda kulima mpunga na kurudishwa alfajiri.
jamii01 said: Shida ya hii nyumba ni nini maana nimekwisha iona hapa mara kibao ikitangazwa.. Click to expand... Usiku hapalaliki mkubwa, mnajikuta wote mmenda kulima mpunga na kurudishwa alfajiri.