yupo vizuri Sana aseeHauko peke yako Anajua sana hata mimi namkubali
are you gonna dance if i show you my money...... hapa ndipo nilianza kumpenda huyu jamaaHuyu jamaa tangu atoe hii nyimbo inaitwa in my bed nilimkubali mpaka leo kila nyimbo akitoa naona ni nzuri tu.
ShiiiizyWizzzzzzz