Mwanafalsafamweusi
Member
- Jun 4, 2019
- 14
- 23
Na bado mtaweweseka sana lkn Chadema ni chama la wananchi wanaojielewaKatibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dr.Bashiru Kakurwa kaandika historia wilayani Hai kwanza kwa namna alivyopokelewa na idadi kubwa ya wanachama wa CCM na kubebwa na kina mama baada ya kuchuka kwenye gari lake.
Bashiru sio MTU wa kusifia sifia watu hovyo na kwa unafiki akiwa Hai alishindwa kuficha furaha yake na kuwapa sifa watendaji kazi wa serikali ya Hai mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya aliye muita Mbunge wa Hai na Mkurugenzi wake Yohana Sintoo kwa namna wanavyo Shughulikia kero za wananchi.Dr Bashiru ameanza Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa wilayani Hai.Akiwa Hai Dr.Bashiru amefanya mkutano wa ndani na wanachama wa chama cha mapinduzi na makada.Akizungumza na wanachama hao aliwaeleza kuwa amezidi kudhibitisha hakuna chama cha upinzani chenye ngome yake Hai na Kilimanjaro kutokana na idadi kubwa ya wanachama wa chama cha Mapinduzi waliojitokeza kumpokea na hakuna chama kinaweza kusema kina ngome yake mahali wakati hakikushinda Dola kwenye uchaguzi mkuu na kusema CCM ndo chama pekee kinachokubalika nchi nzima.Alimpongeza Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya kwa namna anavyo toka ofisini na kushughulika na shida za watu ikiwa za migogoro ya Aridhi na miradhi akawataka wakuu wengine wa wilaya nawao wafanye kama mkuu wa wilaya huyo.
Hii ni ID yako sabaya,unajisifia mwenyeweKatibu mkuu wa Chama cha Mapinduzi CCM Dr.Bashiru Kakurwa kaandika historia wilayani Hai kwanza kwa namna alivyopokelewa na idadi kubwa ya wanachama wa CCM na kubebwa na kina mama baada ya kuchuka kwenye gari lake.
Bashiru sio MTU wa kusifia sifia watu hovyo na kwa unafiki akiwa Hai alishindwa kuficha furaha yake na kuwapa sifa watendaji kazi wa serikali ya Hai mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya aliye muita Mbunge wa Hai na Mkurugenzi wake Yohana Sintoo kwa namna wanavyo Shughulikia kero za wananchi.Dr Bashiru ameanza Ziara yake ya Kikazi Mkoani Kilimanjaro na kupokelewa wilayani Hai.Akiwa Hai Dr.Bashiru amefanya mkutano wa ndani na wanachama wa chama cha mapinduzi na makada.Akizungumza na wanachama hao aliwaeleza kuwa amezidi kudhibitisha hakuna chama cha upinzani chenye ngome yake Hai na Kilimanjaro kutokana na idadi kubwa ya wanachama wa chama cha Mapinduzi waliojitokeza kumpokea na hakuna chama kinaweza kusema kina ngome yake mahali wakati hakikushinda Dola kwenye uchaguzi mkuu na kusema CCM ndo chama pekee kinachokubalika nchi nzima.Alimpongeza Mkuu wa wilaya ya Hai Lengai Ole Sabaya kwa namna anavyo toka ofisini na kushughulika na shida za watu ikiwa za migogoro ya Aridhi na miradhi akawataka wakuu wengine wa wilaya nawao wafanye kama mkuu wa wilaya huyo.
Sabaya anampoteza mbowe mapema ,2020 in kuchukua na kuweka pa
Sasa hivi ni genge la watekaji,watesaji na wauaji no kama iterahamwe tuCCM ilikuwa enzi za Nyerere, sasa imekuwa chama cha kuteka watu na kuua wananchi
Nasikitika mama yangu ni mnazi wa hili chama. Mama mwalimu mstaafu anacheleweshewa pensheni yake... ukimuuliza anakuambia anaunga mkono juhudi za JPM za kuleta maendeleo . ... afu baadae anaomba hela ya kujikimu....
Sijawahi kuona lichama la kisengerema kama hili la kulazimishana.
Sabaya anampoteza mbowe mapema ,2020 in kuchukua na kuweka pa
Na bado mtaweweseka sana lkn Chadema ni chama la wananchi wanaojielewa
Mchane makavu bi mkubwa [emoji52][emoji28][emoji28][emoji28]Nasikitika mama yangu ni mnazi wa hili chama. Mama mwalimu mstaafu anacheleweshewa pensheni yake... ukimuuliza anakuambia anaunga mkono juhudi za JPM za kuleta maendeleo . ... afu baadae anaomba hela ya kujikimu....
Sijawahi kuona lichama la kisengerema kama hili la kulazimishana.
Vilaana ndo naviogopaga sasa. Namchana kwenye mshiko. Nikipanga kumpa kalaki kamoja anaambilia hamsini. Iliyobaki naenda kugonga K VantMchane makavu bi mkubwa [emoji52][emoji28][emoji28][emoji28]
Sengerema siuri wahikuka wewe nafikiri umeni erewa kukuuNasikitika mama yangu ni mnazi wa hili chama. Mama mwalimu mstaafu anacheleweshewa pensheni yake... ukimuuliza anakuambia anaunga mkono juhudi za JPM za kuleta maendeleo . ... afu baadae anaomba hela ya kujikimu....
Sijawahi kuona lichama la kisengerema kama hili la kulazimishana.
Sengerema siuri wahikuka wewe nafikiri umeni erewa mukuu/QUOTE]