Jamani waungwana nautafuta sana wimbo X mass siujui jina, ninachofahamu ni kwamba unamaneno kama ifuatavyo
happy xmass iyoo iyoo
happu new year iyoo iyoo
1,2,3,4,5,6,7,8,9..........
a,b,c,d,e,f,g,h,i,j,k,l..........
happy xmass iyoo iyoo
happy new year iyoo iyooo
tafadhali mwenye kuujua jina au link au anishushie hapa niunyonye niburudike msimu huu wa xmass
naawasilisha
cc
Gang Chomba